Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na
wakuu wa Taasisi na Idara za wizara (hawapo pichani), wakati wa kikao
cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia
ni Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo
katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na
wakuu wa Taasisi na Idara za wizara wakati wa kikao cha kujadili masuala
mbalimbali ya mipango na maendeleo ya wizara. Kulia ni Naibu Waziri
Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya mipango na maendeleo ya Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Idara zake. Kikao hicho kiliongozwa na
Waziri wa wizara hiyo, Mwigulu Nchemba (hayupo pichani). Kushoto ni
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Minja. Kikao hicho
kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara, jijini Dar es
Salaam.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon