
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila habari inayonifikia hii ni kutoka 254 Kenya ambapo millardayo & Ayo TV imefanikiwa kumpata Mlinzi wa Chris Brown Kenya aliehusika na usalama kuanzisha alipowasili Kenya mpaka alipoondoka nchini humo.
Mlinzi huyo akiongea na ripota wa millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>Mimi
nilihusika katika mambo ya usalama, Kwanza msanii huyo Chris hatabiriki
tabia yake mara kwa mara ni ya kugeukageuka,
atafurahi/atakasirika’-Mlinzi
Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii interview ya Mlinzi wa Chris Brown kuhusu Chris Mombasa
https://youtu.be/-pXWiNFC1xE
https://youtu.be/-pXWiNFC1xE
https://youtu.be/iIi3zkoKiec
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon