
Mtu wangu wa nguvu najua umezoea
kuona nikikuletea TBT Picha za mastaa mbalimbali wa soka wanaofanya
vizuri katika soka, ila leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee TBT
Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba.
Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika soka Pogba ana ndugu zake wawili ambao ambao wote wanacheza soka pia, kaka yake Mathias anachezea timu ya taifa ya Guinea.

Paul Pogba muonekano wake wa sasa

Paul Pogba muonekano wake wa sasa


Pogba wa pili kutoka kushoto waliosimama

Pogba wa katikati na kaka zake

Pogba wa kwanza kushoto

Pogba wa kwanza kushoto
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon