
Jumamosi ya October 1 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika.

Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee
katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu
hizo mbili, kupigana vijembe au kutambiana mitandaoni.




Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon