Hakeem 5
Msanii wa bongo fleva Hakeem 5 amesema hawezi kumuomba Ali Kiba
msamaha kwa kuwa hajafanya kosa lolote na alichoongea kuwa Ali Kiba
anaroho mbaya aliongea ukweli.
Hata hivyo Hakeem 5 hakusita kumjibu Abby Skills na kumuambia kuwa aache unafiki na aendelee na mambo yake kwani hajui chanzo na angekuwa anataka amani angekaa akawapatanisha kama ndugu na siyo kukaa na kuanza kumkandamiza kwenye vyombo vya habari.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon