Jana Sakata la Mwanamuziki Ali Kiba kushushwa Jukwaani kwenye show ya
Mombasa ili Chriss Brown apande jukwaani kuimba jana lilichukua sura
mpya baada ya Video kutoka Ali Kiba akiongea kuhusu hilo na kusema kuwa
anahisi kuhujumiwa hasa baada ya meneja wa Diamond kuonekana akiwa
backstage...Ali Kiba amedai haelewi Meneja huyo wa Diamond alikuwa
anafanya nini backstage wakati msanii wake hakuwa na show siku hiyo..
Sasa watu mbali mbali wametoa maoni yao embu soma ya huyu alafu uniambie kama kuna ukweli:
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon