Baada ya msomaji wa wasifu wa Dk. Masaburi kutaja kuwa marehemu ameacha mke mmoja, Rais Magufuli alipata nafasi ya kuzungumza na kusema anafahamu Dk. Masaburi alikuwa na wake wanne au watano na hata watoto anafahamu kuwa anao zaidi ya 20, aidha Rais Magufuli amewaomba watoto wa marehemu kushikamana na kuwa wamoja, unaweza kuangalia video hii hapa chini....
https://youtu.be/3vflsL9UYsw
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon