Madereva
wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi
hiyo.
Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo amezungumza na shirika la utangazaji la BBC na kusema wote wameokolewa na wako salama
Waasi hao walioa saa 24 kuanzia jana saa 10 jioni walipwe fedha kiasi cha Dola za Kimarekani 4,000 kwa kila dereva ili waweze kuwaachia
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon