Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa wazazi na mke anampeleka hapo hapo kwenye nyumba ya familia, ndiyo hapo ndoa inakua ngumu kwa mawifi na mashemeji na wazazi zinaanza chokochoko kibao. Wanaume wa hivi ni walaini sana, hadi kitandani ni walaini.
Wapo sana wanaume wa hivi ila kiukweli mwanamke anavutiwa na mwanaume mgumu yaani anayejua kuhangaika na kujitegemea. Hawa wanategemea hadi siku ya ndoa wapewe zawadi ya kiwanja, au nyumba na wazazi. Wanataka sofa, kitanda, vyombo vya ndani siku ya harusi.
Shosti ukiona mwanaume wa hivi shituka mapema ni mwanaume Hotpot Family.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon