Showing posts with label Habari za nyumbani. Show all posts
Showing posts with label Habari za nyumbani. Show all posts

Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma

Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjini Dodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa U...
Read More

Serikali imeyasainisha mikataba ya kujiendesha kwa faida Mashirika 12 ya Umma.......Yatakayojiendesha kihasara kuchukuliwa hatua.

Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujiendesha kwa faida huku yakiwa na mtazamo wa kiushindani na makampuni yaliyo chini ...
Read More

Serikali Yatenga Bilioni 70 kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa nchini.

Serikali  imesema imetenga jumla ya shilingi bilioni 70 kwa ajili ya kununua dawa na vifaa tiba ili kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa ...
Read More

Safari ya Tanzania ya viwanda yaanza......NBS Waagizwa kushirikiana na UNIDO na CTI kuvifanyia utafiti viwanda vidogo nchini

Serikali imeitaka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo nchini ikiwemo Shirika la Maendeleo ya Viwanda...
Read More

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Asikitishwa Na Mwekezaji Kubadili Matumizi Ya Kiwanda Na Kukitelekeza

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi kuhakikisha anadhibiti wafanyabiashara wanaonunua koros...
Read More

COMMUNITY HELP